Iramba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Iramba)
Mahali pa Iramba (kijani) katika mkoa wa Singida.

Wilaya ya Iramba ni wilaya moja ya Mkoa wa Singida. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 236,282.[1]

Wilaya hii ni moja kati ya wilaya nne za Mkoa wa Singida. Imepakana na Mkoa wa Shinyanga upande wa kaskazini-Magharibi, na Mkoa wa Mara upande wa kaskazini-mashariki, wilaya ya Singida Vijijini na Singida Mjini upande wa kusini na Mkoa wa Tabora upande wa magharibi.

Sehemu kubwa ya wenyeji wa Iramba ni Waramba wanaosema lugha ya Kiramba.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Iramba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
Kata za Wilaya ya Iramba - Mkoa wa Singida - Tanzania

Kaselya | Kidaru | Kinampanda | Kiomboi | Kisiriri | Kyengege | Maluga | Mbelekese | Mgongo | Mtekente | Mtoa | Mukulu | Ndago | Ndulungu | Ntwike | Old Kiomboi | Shelui | Tulya | Ulemo | Urughu