Michoro ya miambani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hiyo kuhusu "Michoro ya miambani" inatumia neno ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Michoro ya miambani huko Kondoa, Tanzania

Michoro ya miambani (ing. rock art) ni jina kwa michoro ya aina mbalimbali iliyofanywa na wanadamu kwenye uso wa miamba asilia. Ni aina ya sanaa inayoweza kuwa na umri mkubwa sana.

Wataalamu wa akiolojia hutofautisha kati ya

  • Petroglifi (ing. petroglyph) – zinazotokana na kukata nyufa kwenye uso wa mwamba
  • Piktografi (ing. pictograph) – zinazotokana na kutumia rangi juu ya mwamba, hasa kwenye michoro ya mapango.

Michoro ya aina hii hupatikana katika mabara yote na nchi nyingi. Mfano mashuhuri ni Michoro ya Kondoa nchini Tanzania.

Inapatikana kwenye uso wa mwamba unaosimama kama ukuta ama kwenye mtelemko mkali wa mlima au ndani ya mapango.


Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kujisomea[hariri | hariri chanzo]

  • Malotki, Ekkehart and Weaver, Donald E. Jr., 2002, Stone Chisel and Yucca Brush: Colorao Plateau Rock Art, Kiva Publishing Inc., Walnut, CA, ISBN 1-885772-27-0 (cloth). For the "general public", this book has well over 200 color prints with commentary on each site where the photos were taken; the organization begins with the earliest art and goes to modern times.
  • Rohn, Arthur H. and Freguson, William M, 2006, Puebloan ruins of the Southwest, University of New Mexico Press, Albuquerque, NM, ISBN 0-8263-3970-0 (pbk, : alk. paper). Adjunct to the primary discussion of the ruins, contains color prints of rock art at the sites, plus interpretations.
  • Schaafsma, Polly, 1980, Indian Rock Art of the Southwest, School of American Research, Sana Fe, University of New Mexico press, Albuquerque, NM, ISBN 0-8263-0913-5. Scholarly text with 349 references, 32 color plates, 283 black and white "Figures", 11 Maps, and 2 Tables.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]