Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Karatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani yake.

Wilaya ya Karatu ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Arusha yenye postikodi namba 23600.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Karatu ilihesabiwa kuwa 230,166. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 280,454 [1].

Kata za Wilaya ya Karatu - Mkoa wa Arusha - Tanzania

Baray | Buger | Daa | Endabash | Endamaghang | Endamarariek | Ganako | Kansay | Karatu | Mang'ola | Mbulumbulu | Oldeani | Qurus | Rhotia


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Karatu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.