Wilaya ya Kilolo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Kilolo (kijani) katika mkoa wa Iringa.

Wilaya ya Kilolo ni wilaya moja ya Mkoa wa Iringa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 205,081 [1].

Wilaya hii imepakana na mkoa wa Morogoro upande wa kaskazini na mashariki, mkoa wa Iringa upande wa magharibi na wilaya ya Mufindi upande wa kusini.

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kilolo - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Boma la Ng'ombe | Dabaga | Ibumu | Idete | Ihimbo | Ilula | Image | Irole | Kimala | Lugalo | Mahenge | Masisiwe | Mlafu | Mtitu | Ng'ang'ange | Ng'uruhe | Nyalumbu | Ruaha Mbuyuni | Udekwa | Uhambingeto | Ukumbi] | Ukwega


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kilolo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.