Joseph Kasheku Musukuma
Mandhari
(Elekezwa kutoka Joseph Lwinza Kasheku ‘Msukuma’)
Joseph Kasheku Musukuma ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Geita kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |