Billie Holiday

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Billie Holiday

Billie Holiday (7 Aprili 191517 Julai 1959) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Eleanora Fagan. Alikuwa anapiga muziki wa jazz.

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Billie Holiday kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.