Nenda kwa yaliyomo

Charlie Chaplin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charlie Chaplin

Amezaliwa Charles Spencer Chaplin
(1889-04-16)16 Aprili 1889
London, Uingereza
Amekufa 25 Desemba 1977 (umri 88)
Corsier-sur-Vevey, Uswizi
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1899–1975
Ndoa Mildred Harris (1918-1920)
Lita Grey (1924-1927)
Paulette Goddard (1936-1942)
Oona O'Neill (1943-hadi kufa kwake)
Watoto 11
[charliechaplin.com Tovuti rasmi]


Charlie Chaplin (16 Aprili 188925 Desemba 1977) alikuwa mwigizaji na mtayarishaji filamu maarufu wa Kiingereza. Alikuwa maarufu sana katika kucheza filamu za vichekesho vya kimya-kimya (ambapo zilikukuwa hamna kuongea wala sauti). Aliigiza, aliongoza, alizipanga scripti na kuziongoza filamu zote zilizokuwa zinamhusu.

Charlie Chaplin alikuwa akifanya kazi hizo takribani kwa miaka 70, alianza akiwa na umri wa miaka mitano, na mpaka ilipofika miaka 80. Sehemu husika alizokuwa akicheza Charlie Chaplin mara nyingi iliitwa "the Tramp". Tramp alikuwa mtu mwenye heshima zake, ambaye amevaa koti, suruali likubwa, viatu na kofia nyeusi huku akichekesha watu.

Filamu alizocheza

 • 1914: Making a Living
 • 1916: The Floorwalker
 • 1916: The Fireman
 • 1916: The Vagabond
 • 1916: One A.M.
 • 1916: The Count
 • 1916: The Pawnshop
 • 1916: Behind the Screen
 • 1916: The Rink
 • 1917: Easy Street
 • 1917: The Cure
 • 1917: The Immigrant
 • 1917: The Adventurer
 • 1918: A Dog's Life
 • 1918: The Bond
 • 1918: Shoulder Arms
 • 1919: Sunnyside
 • 1919: A Day's Pleasure
 • 1921: The Kid
 • 1921: The Idle Class
 • 1922: Pay Day
 • 1923: The Pilgrim
 • 1925: The Gold Rush
 • 1928: The Circus
 • 1931: City Lights
 • 1936: Modern Times
 • 1940: The Great Dictator
 • 1947: Monsieur Verdoux
 • 1952: Limelight
 • 1957: A King in New York

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charlie Chaplin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.