Nenda kwa yaliyomo

Optati, Luperki na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanduku la marumaru katika Basilika la Mt. Engrasia huko Zaragoza.

Optati, Luperki na wenzao Suksesi, Marsiali, Urbani, Julia, Kwintiliani, Publi, Frontoni, Felisi, Sesiliani, Evodi, Primitivi, Apodemi na wanaume 4 wenye jina la Saturnini (walifariki Zaragoza, Hispania, 304 hivi) walikuwa Wakristo waliopata mateso na kifodini katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano [1]. Siku hizi wengine wanamtaja kaisari Valerian (254-260)[2].

Mshairi Prudentius (348-410), mwenyeji wa mji huo, alitunga utenzi juu ya wafiadini hao[3].

Heshima ya watu kwao kama watakatifu ni ya zamani sana.

Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Aprili[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • S. EUGENIO DE TOLEDO, De basílica ss. decein et octo martyrum: Ed. Vollmer, en MGH, Autores Antiquissimi, 14 (1905), 239 ss.
  • PRUDENCIO, Periste fanon, ed. BAC, Madrid 1950, IV, 540 ss.
  • A. FABREGA GRAU, Pasionario Hispánico, I, Madrid 1953, 168 ss.; II, ib. 1955, 371 ss.
  • RIESCO CHUECA, Pilar: Pasionario hispánico, Universidad de Sevilla, 1995.
  • Lamberto de Zaragoza na Ramon de Huesca, Teatro historico de las iglesias del reyno de Aragon, vol. 2, ed. J.M. Ezquerro, 1787

Marejeo mengine[hariri | hariri chanzo]

  • R. JIMÉNEZ PEDRAJAS, El santoral hispánico del martirologio de Usuardo (tesis doct.), P. U. Gregoriana, Roma 1969, I, 79 ss.; II, 554 ss.
  • C. GARCÍA RODRÍGUEZ, El culto de los Santos en la España romana y visigoda, Madrid 1966, 324 ss.
  • BENEDICTINOS DE PARÍS, Vies des Saints, IV, París 1946, 366 ss.; Z. GARCÍA VILLADA, Historia eclesiástica de España, Madrid 1929-30.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.