Anatole France

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Anatole France

Anatole France (16 Aprili 184412 Oktoba 1924) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1921 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anatole France kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.