Nenda kwa yaliyomo

Hugo Weaving

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hugo Weaving
Hugo Weaving
Hugo Weaving
Jina la kuzaliwa Hugo Wallace Weaving
Alizaliwa 4 Aprili 1960
Nigeria
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1980 mpaka leo
Watoto Holly (kaz. 1993)
Harry (kaz. 1989)
Mahusiano Katrina Greenwood

Hugo Wallace Weaving (amezaliwa tar. 4 Aprili 1960, Nigeria) ni mwigizaji filamu wa Kiingereza, vilevile mwigizaji wa sauti yaani kama kuigiza sauti ya katuni au sauti za kirobot. Huenda akawa anafahamika kwa jina la Agent Smith kutoka katika mfululozo wa filamu za Matrix.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Weaving alizaliwa nchini Nigeria na wazazi wa Kiingereza Anne, aliyekuwa mwongozaji wa watalii, na Wallace Weaving, mwanaseismolojia (mstadi wa maafa asilia ya dunia). Hugo utoto wake wote aliutumia akiwa nchini Afrika Kusini na baadae familia ikarudi Uingereza, wakati Hugo bado yungali bwana mdogo. Akiwa Uingereza akapelekwa shule ya bweni na ilipofika mwaka 1976 akaelekea Sydney nchini Australia, akiwa huko akajiunga na shule moja hivi iliokuwa inafundisha maswala ya lugha. Shule ilikuwa naongozwa na muunganiko wa baadhi ya makanisa. Baada ya hapo akajiunga tena na taasisi ya sanaa na maigizo (National Institute of Dramatic Art) ya nchini Australia na kumaliza mnamo mwaka wa 1981.

Filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
  • Maybe This Time (1980), kama Mwanafunzi wa 2
  • The City's Edge (1983), kama Andy White
  • "Bodyline" (1984), kama Douglas Jardine
  • For Love Alone (1986), kama Johnathan Crow
  • "Melba" (1987), kama Charles Armstrong
  • The Right Hand Man (1987), kama Ned Devine
  • Dadah Is Death (1988), kama Geoffrey Chambers
  • "The Dirtwater Dynkamaty" (1988), kama Richard Ekamatwick
  • "Bangkok Hilton" (1989), kama Richard Carlisle
  • ...Almost (1990), kama Jake
  • [Proof (1991), kama Martin
  • Road to Alice (1992), kama Morris
  • Frauds (1993), kama Jonathan Wheats
  • Reckless Kelly (1993), kama Sir John
  • The Custodian (1993), kama Det. Church
  • "Seven Deadly Sins" (1993), kama Lust
  • Exile (1994), kama Innes
  • The Adventures of Priscilla, Queen of the Desert (1994), kama Anthony 'Tick' Belrose/Mitzi Del Bra
  • What's Going On, Frank? (1994), kama Strange Packer in Supermarket
  • "Bordertown" (1995), kama Kenneth Pearson
  • Babe (1995) kama sauti ya Rex the Male Sheepdog
  • "Naked: Stories of Men" - Episode "Coral Island" (1996) kama Martin Furlong
  • "The Bite" (1996), kama Jack Shannon
  • True Love and Chaos (1997) kama Morris
  • Halifax f.p: Isn't It Romantic (1997), kama Det. Sgt. Tom Hurkos
  • "Frontier" (1997), kama Governor Arthur
  • Babe: Pig in the City (1998), kama sauti ya Rex the Male Sheepdog
  • Bedrooms and Hallways (1998) kama Jeremy
  • The Interview (1998), kama Eddie Rodney Fleming
  • The Kiss (1998), kama Barry
  • Strange Planet (1999), kama Steven
  • Little Echo Lost (1999), kama Echo Man
  • The Matrix (1999), kama Agent Smith
  • The Lord of the Rings: The Fellowship of the Ring (2001), kama Elrond
  • Russian Doll (2001), kama Harvey
  • The Old Man Who Read Love Stories (2001), kama Rubicondo (Dentist)
  • The Lord of the Rings: The Two Towers |The Lord of the Rings: The Two Towers (2002), kama Elrond
  • The Lord of the Rings: The Return of the King |The Lord of the Rings: The Return of the King (2003) kama Elrond
  • The Matrix Reloaded (2003), kama Agent Smith
  • The Matrix Revolutions (2003), kama Agent Smith
  • After the Deluge (2003), kama Martin Kirby
  • Peaches (2004), kama Alan
  • Everything Goes (2004), kama Ray
  • Little Fish (2005), kama Lionel Dawson
  • Happy Feet (2006), kama Noah (sauti)
  • V for Vendetta |V for Vendetta (2006), kama V (character)|V
  • The Key Man (2007), kama Vincent (post-production)
  • The Tender Hook (2007), kama McHeart (pre-production)
  • Transformers (2007), Megatron (Sauti)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: