Caracalla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Caracalla (4 Aprili, 1868 Aprili, 217) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia mwaka wa 209 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Septimius Bassanius, na baadaye aliitwa Marcus Aurelius Severus Antoninus Augustus. Alimfuata baba yake, Septimius Severus ambaye alitawala pamoja naye hadi kifo cha baba tarehe 4 Februari, 211. Halafu Caracalla alitawala pamoja na kaka yake, Geta ambaye amemuua mwezi wa Desemba 211.

She-wolf suckles Romulus and Remus.jpg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Caracalla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.