Antipa wa Pergamo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Antipa akiwa anabanikwa.

Antipa wa Pergamo alikuwa Mkristo wa karne ya 1 aliyeuawa katika mji huo (katika Uturuki wa leo) kwa sababu ya imani yake[1].

Mapokeo ya Kanisa yanasema Mtume Yohane alikuwa amemweka wakfu kama askofu wa Pergamo.

Ufu 2:13 inamtaja kama mfiadini mwaminifu[2]. Inasemekana alichomwa moto kwa kufukuza mashetani walioabudiwa na wenyeji[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 11 Aprili[4][5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. James, M. R. (1898). "Antipas". In James Hastings. A Dictionary of the Bible. I. pp. 107. http://www.ccel.org/ccel/hastings/dictv1/Page_107.html. "According to one form of his Acts (quoted by the Bollandists from a Synoxarion), he prayed that those suffering from toothache might be relieved at his tomb.".
  2. "I know thy works, and where thou dwellest, even where Satan's seat is: and thou holdest fast my name, and hast not denied my faith, even in those days wherein Antipas was my faithful martyr, who was slain among you, where Satan dwelleth."
  3. "Hieromartyr Antipas the Bishop of Pergamum and Disciple of St John the Theologian", Orthodox Church in America
  4. Martyrologium Romanum
  5. St Antipas of Pergamon. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-09-30. Iliwekwa mnamo 2007-12-21.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antipa wa Pergamo kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.