Filipo wa Gortina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Filipo wa Gortina (alifariki Ugiriki, 180) alikuwa Askofu wa Gortina, katika kisiwa cha Krete ambaye alieneza na kutetea Ukristo[1] hata kwa maandishi [2].

Habari zake tunazipata kutoka kwa mwanahistoria Eusebi wa Kaisarea, kwa Denis wa Korintho na kwa Jeromu.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Eusebius, Hist. eccl., IV., xxiii. 5; Eng. transl., NPNF, 2 ser., i. 201
  • New Schaff-Herzog Encyclopedia of Religious Knowledge, Vol. IX: Petri – Reuchlin
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.