Reggie Rockstone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Reggie Rockstone ni mwanamuziki wa Ghana. Jina lake la kuzaliwa ni Reginald Osei. Mwaka wa kuzaliwa haujulikani ila alizaliwa miaka ya 1960, lakini sikukuu yake ya kuzaliwa ni 11 Aprili. Alikuwa anapiga muziki wa hip-hop.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reggie Rockstone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.