Stanislaus mfiadini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Stanislaus.

Stanislaus mfiadini (kwa Kipolandi:Stanisław Szczepanowski; 26 Julai 103011 Aprili 1079) alikuwa askofu wa Kraków[1]kuanzia mwaka 1072[2] akajulikana hasa kwa kuuawa na mfalme wa Polandi Bolesław II.

Stanislaus alitangazwa mtakatifu mfiadini na Papa Inosenti IV tarehe 17 Septemba 1253.

Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki kote duniani tarehe ya kifodini chake[3], lakini pia tarehe 7 Mei na 8 Mei, hasa nchini mwake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Foley O.F.M., Leonard. Saint of the Day, Lives, Lessons, and Feast, (revised by Pat McCloskey O.F.M.), Franciscan Media. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-06-16. Iliwekwa mnamo 2018-06-24.
  2. Fr. Paolo O. Pirlo, SHMI (1997). "St. Stanislaus", My First Book of Saints. Sons of Holy Mary Immaculate - Quality Catholic Publications, 80–81. ISBN 971-91595-4-5. 
  3. Martyrologium Romanum
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.