Barsanufi wa Gaza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu ya Mt. Barsanufi huko Oria.

Barsanufi wa Gaza (au wa Palestina; alifariki 540 hivi) alikuwa mkaapweke kutoka Misri.

Ingawa alijitenga kabisa na watu aliandika barua nyingi; kati yake 800 zimetufikia.[1]

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 6 Februari au 11 Aprili.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Barsanuphius and John Letters, translated by John Chryssavgis Catholic University of America Press (2002)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barsanufi wa Gaza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.