Papa Adeodato II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Adeodato II.

Papa Adeodato II, O.S.B. alikuwa papa kuanzia 11 Aprili 672 hadi kifo chake tarehe 17 Juni 676.

Alimfuata Papa Vitalian akafuatwa na Papa Donus.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adeodato II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.