Ulrich wa Augsburg
Mandhari
(Elekezwa kutoka Ulderiki wa Augsburg)
Ulrich wa Augsburg (pia: Uodalric au Odalrici; Kyburg, Zurich, sasa nchini Uswisi, 893 – Augsburg, Ujerumani, 4 Julai 973) alikuwa askofu wa mji huo tangu tarehe 28 Desemba 923 hadi alipofariki miaka 50 baadaye.
Alikuwa maarufu kwa matendo ya toba na ukarimu[1].
Ndiye Mkristo wa kwanza kutangazwa mtakatifu na Papa mwenyewe (Papa Yohane XV, 4 Julai 993). Mbali ya Kanisa Katoliki, Waorthodoksi pia wanamheshimu hivyo.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Gerhard of Augsburg wrote about St. Ulrich's life, the Vita Sancti Uodalrici and several books about his miracles have been written as well.
- Opera Omnia by Migne Patrologia Latina with analytical indexes
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |