Berta wa Blangy
Mandhari
Berta wa Blangy (pia: wa Artois; Artois, leo nchini Ufaransa, katikati ya karne ya 7; Blangy-sur-Ternoise, 4 Julai, 725) alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme [1] ambaye, baada ya kuolewa [2] na kuzaa watoto watano, alipobaki mjane alijiunga na monasteri aliyokuwa ameianzisha pamoja na mabinti wake Deotila na Getrude[3]. Baada ya kuiongoza miaka kadhaa kama abesi, alijifungia chumbani hadi kifo chake kilichomfikia akiwa na umri wa miaka 85[2][4].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Julai[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lives of the Saints, For Every Day of the Year," edited by Rev. Hugo Hoever, S.O.Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., 1955, p. 254
- ↑ 2.0 2.1 "Lives of the Saints, For Every Day of the Year," p. 254
- ↑ "Married Saints and Blesseds: Through the Centuries," Ferdinand Holbock, San Francisco: Ignatius Press, 2002, p. 114
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/91712
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Herbert J. Thurston and Donald Attwater, eds. "Butler's Lives of the Saints," vol. 3. Allen, TX: Christian Classics, 1956, pp 14–15.
- Ferdinand Holböck, "Married Saints and Blesseds: Through the Centuries," San Francisco: Ignatius Press, 2002, 400 pp, ISBN 0-89870-843-5
- "Lives of The Saints, For Every Day of the Year," edited by Rev. Hugo Hoever, S.O.Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., 1955, 511 pp
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Catholic Online-Saints & Angels: St. Bertha
- Saint of the Day, July 4: Bertha of Blangy at SaintPatrickDC.org
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |