Abesi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eufemia Szaniawska, Abesi wa Nieśwież, 1768 hivi, Warsaw.


Ngao ya abesi.

Abesi (kutoka Kiingereza: abbess; pia: abatisa kutoka Kilatini abbatissa) ni cheo cha mmonaki wa kike anayeongoza monasteri kamili; kwa namna fulani kinalingana na kile cha abati na mara nyingi anavaa kama huyo msalaba kifuani kama ishara ya mamlaka yake.

Abesi ni kwa masista wake mama na mwalimu katika safari ya Kiroho. Kwa ajili hiyo anaongoza sala ya jumuia, anagawa majukumu na anasamehe utekelezaji wa vipengele fulanifulani hasa kwa walio wagonjwa.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Fletcher, Adrian (2007). The Royal Abbey of Fontevraud. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-05-09. Iliwekwa mnamo 2019-06-05.
  • Henneberry, Thomas E. (1997). "abbess". In Johnston, Bernard. Collier's Encyclopedia. I: A to Ameland (1st ed.). New York, NY: P. F. Collier. ISBN 1-5716-1093-6
      . LCCN 96084127
       .
  • Hoiberg, Dale H., ed. (2010). "abbess". Encyclopædia Britannica. 1: A-ak Bayes (15th ed.). Chicago, IL: Encyclopædia Britannica, Inc.. ISBN 0-85229-961-3
      . LCCN 2002113989
       .
       .
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abesi kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.