Warshawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Warsaw)
Jump to navigation Jump to search
Warshawa
Warshawa is located in Dunia
Warshawa
Warshawa
Mahali pa Warshawa katika Earth
Majiranukta: 52°14′00″N 21°01′00″E / 52.233333°N 21.016667°E / 52.233333; 21.016667
Nchi Poland
Idadi ya wakazi
 - 1 729 119 (30.06.2014)
Tovuti: http://www.um.warszawa.pl/

Warshawa' (Kipoland: Warszawa, ing. Warsaw) ni mji mkuu wa Poland pia mji mkubwa mwenye wakazi milioni mbili (1,7 mln - 2014).

Kitovu cha kihistoria cha Warshawa

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Warshawa iko katikati ya nchi kando la mto Vistula (Kipoland:(polnisch Wisła) takriban 350 km kutoka Bahari Baltiki.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Warshawa imekuwa mji tangu karne ya 15 ikawa mji mkuu wa Poland mwaka 1596. Iliharibiwa mara nyingi katika historia yake hasa wakati wa vita kuu ya pili ya dunia. Wapoland walijaribu kuasi dhidi ya Wajerumani waloshika mji kati ya 1939 na 1944; pamoja na vofo vingi asilimia 90% za nyumba zote ziliharibiwa.

Baada ya vita mji ulijengwa upya mara nyingi kwa kurudisha nyumba zinazofanana na nyumba za kale.

Utamaduni[hariri | hariri chanzo]

Kuna vyuo 66 pamoja na Chuo Kikuu cha Warshawa, vyuo vikuu vingine, nyumba za maigizo, opera na makumbusho mbalimbali.

Uchumi[hariri | hariri chanzo]

Warshawa ni mji wa viwanda vingi vya kutengenezea chuma, mashine, motokaa na mengi mengine.

Picha za Warshawa[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Warshawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.