Vistula (mto)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mto Vistula)
Kipoland: Wisła | |
---|---|
Chanzo | Milima ya Beskidi |
Mdomo | Bahari ya Baltiki |
Nchi | Poland |
Urefu | 1,047 km |
Kimo cha chanzo | 1,106 m |
Mkondo | 1,054 m³/s |
Eneo la beseni | 194,424 km² Nchi za beseni: Poland, Ukraine, Belarus, Slovakia |
Miji mikubwa kando lake | Krakov, Warshawa, Thorun, Gdansk |
Vistula (Kipoland: Wisła tamka: viswa) ni mto mkubwa nchini Poland mwenye urefu wa 1047 km.
Chanzo chake ni katika milima ya Beskidi inaishia katika Bahari Baltiki. Inapita kwenye miji mikubwa ya Krakov na Warshawa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vistula (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |