Krakov
Mandhari
Krakov | |
Mahali pa Krakov katika Earth |
|
Majiranukta: 50°04′00″N 19°56′00″E / 50.06667°N 19.93333°E | |
Nchi | Poland |
---|---|
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 759 800 (30.06.2014) |
Tovuti: http://www.krakow.pl/ |
Krakov (kwa lugha ya Kipolandi: Kraków, Kiingereza: Cracow, Kilatini: Cracovia) ni mji wa Poland. Mji huo ulikuwa na watu 759,144 mwaka wa 2014.[1] [2] Krakov ilikuwa mji mkuu wa Poland kuanzia mwaka wa 1038 hadi 1596.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Główny Urząd Statystyczny, dane za rok 2013 [1]
- ↑ Central Statistical Office, Warsaw 2007, "Population. Size and Structure by Territorial Division, as of June 30, 2007. Table 3, pg.13 of the Report" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2008-12-17. Iliwekwa mnamo 2007-12-13.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Krakov kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |