Helena wa Uswidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Helena.

Helena wa Uswidi (kwa Kiswidi: Elin av Skövde; aliuawa Skövde, Västergötland, Uswidi, 31 Julai 1160) alikuwa mjane wa ukoo bora wa Uswidi ambaye anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini kwa kibali cha Papa Aleksanda III (1164)[1][2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Julai[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.