Nenda kwa yaliyomo

Jermano wa Auxerre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Jermano.

Jermano wa Auxerre (Auxerre, leo nchini Ufaransa, 378 hivi - Ravenna, Italia, 448 hivi) alikuwa gavana wa mkoa alipochaguliwa askofu wa mji huo[1].

Alipambana na uzushi wa Upelaji hata kwa kwenda mara mbili Britania, pia alieneza Ukristo hadi Uingereza. Alipokwenda kwenye makao makuu ya Dola la Roma Magharibi ili kudumisha amani katika Bretagne, alipokewa kwa heshima na kaisari Valentiniani III na mke wake Gala Plasidia akafariki hukohuko [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 31 Julai[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. The principal source for the events of his life is the Vita Germani, a hagiography written by Constantius of Lyon around 480, and a brief passage added onto the end of the Passio Albani, which may possibly have been written or commissioned by Germanus. Constantius was a friend of Bishop Lupus of Troyes, who accompanied Germanus to Britain, which provided him with a link to Germanus.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91919
  3. Martyrologium Romanum
  • Hoare, F. R. (1965) The Western Fathers. New York: Harper Torchbooks (A translation of the "Life of St Germanus" appears on pp. 283–320)
  • Bowen, E. G. (1954) The Settlements of the Celtic Saints in Wales. Cardiff: University of Wales Press
  • Thompson, E. A. (1984) Saint Germanus of Auxerre and the End of Roman Britain. Woodbridge: Boydell
  • Wood, I. N. (1984) "The End of Roman Britain: Continental evidence and parallels", in M. Lapidge & D. Dumville (eds.) Gildas: New Approaches. Woodbridge, Suffolk: Boydell; pp. 1 – 25.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.