Fabius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Fabius (mzaliwa wa Mauretania, alifia dini 303 au 304 huko Mauretania Caesariensis,[1] leo Cherchell, nchini Algeria) alikuwa Mkristo wa Dola la Roma.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Julai[2][3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. São Fábio (séc. IV). Amaivos.uol.com.br. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-10-02. Iliwekwa mnamo 2013-12-05.
  2. Martyrologium Romanum
  3. Blog Archive » Saint Fabius of Caesarea. Saints.SQPN.com (2013-02-21). Iliwekwa mnamo 2013-12-05.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.