José Echegaray y Eizaguirre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
José Echegaray y Eizaguirre alkua mshindi wa Tuzo ya Nobeli mwaka 1904

José Echegaray y Eizaguirre (19 Aprili 18324 Septemba 1916) alikuwa mwanahisabati, mwanasiasa na mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya Hispania. Alianza kuandika tu alipofikisha umri wa miaka 42. Kabla ya kuwa mashuhuri kama mwandishi, alikuwa profesa wa hisabati na mwanasiasa (kwa mfano, aliteuliwa kuwa Waziri wa Fedha mwaka wa 1874). Mwaka wa 1904, pamoja na Frederic Mistral alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José Echegaray y Eizaguirre kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.