Sune Bergström
Mandhari
Sune Bergström (10 Januari 1916 – 15 Agosti 2004) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswidi. Hasa alichunguza tezi kibofu. Mwaka wa 1982, pamoja na Bengt Samuelsson na John Vane alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sune Bergström kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |