Francis Crick

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Francis Crick

Francis Harry Compton Crick (8 Juni 191628 Julai 2004) alikuwa mwanafizikia wa biolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa anajulikana kwa kugundua mfumo wa DNA. Mwaka wa 1962, pamoja na James Dewey Watson na Maurice Wilkins alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francis Crick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.