Vikta mkaapweke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vikta mkaapweke (alifariki Arcis-sur-Aube, Champagne, leo nchini Ufaransa, karne ya 6 hivi) alikuwa mkaapweke aliyesifiwa na Bernardo wa Clairvaux[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Februari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.