Otto Wallach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Otto Wallach

Otto Wallach (27 Machi 184726 Februari 1931) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza michanganyiko kama terpini. Mwaka wa 1910 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Otto Wallach kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.