Hamsini na saba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hamsini na saba ni namba inayoandikwa 57 kwa tarakimu za kawaida na LVII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 56 na kutangulia 58.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 19.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamsini na saba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.