Giulio Natta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanakemia Giulio Natta

Giulio Natta (26 Februari 19032 Mei 1979) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Italia. Hasa alichunguza ubunifu wa molekuli ndefu ili kuboresha plastiki. Mwaka wa 1963, pamoja na Karl Ziegler alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giulio Natta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.