Karl Ziegler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karl Ziegler

Karl Ziegler (26 Novemba 189812 Agosti 1973) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza sifa za plastiki na usanisi wake. Mwaka wa 1963, pamoja na Giulio Natta alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karl Ziegler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.