Faustiniani wa Bologna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Faustiniani wa Bologna (alifariki karne ya 4) alikuwa askofu wa pili wa mji huo, Italia Kaskazini[1].

Aliimarisha na kustawisha hasa kwa mahubiri yake bora Kanisa la huko wakati wa dhuluma ya serikali ya Dola la Roma.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Februari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.