Ahmed Zewail

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ahmed Zewail

Ahmed Hassan Zewail (amezaliwa 26 Februari 1946) ni mwanakemia kutoka nchi ya Misri. Hasa alichunguza kemia ya femto, yaani athari za kikemia zilizo haraka sana. Mwaka wa 1999 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Zewail kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.