Beninyo wa Todi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Beninyo wa Todi (Todi, Umbria, Italia ya Kati, karne ya 3 - Todi, 303 hivi BK) anakumbukwa kama padri wa mji huo hadi kifodini chake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Februari[2]

Kati ya sanamu 140 zinazozunguka uwanja mbele ya Basilika la Mt. Petro huko Vatikano, moja ni ya kwake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/40800
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.