Gosbati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gosbati (pia: Gauzbert, Gautbert; alifariki 860 hivi) alikuwa askofu wa Osnabruck, Ujerumani kuanzia mwaka 845 hadi 858, baada ya kufanya umisionari huko Uswidi na baada ya kufukuzwa na Wapagani kutoka jimbo lake la awali..

Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni 13 Februari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  • Wood, Ian. The Missionary Life: Saints and the Evangelisation of Europe, 400 – 1050. Great Britain: Longman, 2001.
  • Gauzbert. In: Allgemeine Enzyklopädie der Wissenschaften und Künste. Brockhaus, Leipzig 1852, Erste Section, fünfundfünfzigster Teil, S. 61–62, bei Google-Books
  • Ekkart Sauser: Gosbert, Bischof von Osnabrück. In: Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL). Band 18, Bautz, Herzberg 2001, ISBN 3-88309-086-7, Sp. 528.
  • Friedrich Wilhelm Bautz: Ansgar (Anskar, Anscharius), Erzbischof von Hamburg-Bremen. In: Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL). Band 1, Bautz, Hamm 1975. 2., unveränderte Auflage Hamm 1990, ISBN 3-88309-013-1, Sp. 186–187.
  • Gautbert, in Pierer's Universal-Lexikon, Band 7. Altenburg 1859, S. 19
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.