Apolonia wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mateso ya Mt. Apolonia (mchoro wa 1513, Kanisa kuu la Heilsbronn, Bavaria, Ujerumani).

Apolonia wa Aleksandria (alifariki 249 hivi) alikuwa mmojawapo katika kundi la mabikira wa Aleksandria, Misri waliofia dini yao wakati wa shambulio dhidi ya Wakristo lililotangulia dhuluma ya kaisari Decius.[1][2]

Baada ya kuteswa kikatili kwa kukataa maneno ya kukufuru alikubali kuchomwa moto akiwa hai ili asikane imani.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimshwa tarehe 9 Februari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Eusebius of Caesarea, Historia Ecclesiae, I:vi: 41. After describing how a Christian man and woman, Metras and Quinta, were seized and killed by the mob, and how the houses of several other Christians were pillaged, Dionysius continues: "At that time Apollonia, parthénos presbytis (mostly likely meaning a deaconess) was held in high esteem. These men seized her also and by repeated blows broke all her teeth. They then erected outside the city gates a pile of soldiers and threatened to burn her alive if she refused to repeat after them impious words (either a blasphemy against Christ, or an invocation of the heathen gods). Given, at her own request, a little freedom, she sprang quickly into the fire and was burned to death". "St. Apollonia". Catholic Encyclopedia. Iliwekwa mnamo 21 December 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Olmert, Michael (1996). Milton's Teeth and Ovid's Umbrella: Curiouser & Curiouser Adventures in History, p.66. Simon & Schuster, New York. ISBN 0-684-80164-7.
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.