Hermann Staudinger
Mandhari
Hermann Staudinger (23 Machi 1881 – 8 Septemba 1965) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza plastiki laini. Mwaka wa 1953 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hermann Staudinger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |