Nenda kwa yaliyomo

Kali Ongala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kali Ongala
Maelezo binafsi
Jina kamili Kali Ongala
Tarehe ya kuzaliwa 30 Oktoba 1979 (1979-10-30) (umri 45)
Mahala pa kuzaliwa    uingereza, London, Uingereza
Urefu 186 cm / 76 kg
Nafasi anayochezea Katikati
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa GIF Sundsvall
Namba 24
Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
2007 GIF Sundsvall
Timu ya taifa
2007 Tanzania

* Magoli alioshinda

Kali Remmy Mtoro Ongala (amezaliwa London, Uingereza, 30 Agosti 1979), ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya GIF Sundsvall huko Uswidi (Sweden). Alijiunga na hiyo klabu kutoka klabu ya hukohuko Uswidi mwaka 2007.

Ongala ni mchezaji mzuri wa katikati ambaye amechezea klabu nyingi sehemu mbalimbali. Katika klabu alizochezea ni Young Africans FC, klabu mashuhuri nchini Tanzania, Kajumulo FC (Tanzania), Seattle Saints (Marekani), Seba United (Jamaika), Bradford City FC (Uingereza), Väsby United (Uswidi), na GIF Sundsvall (Uswidi) kwa sasa.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kali Ongala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.