Yanga Sc

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Young Africans FC)
Rukia: urambazaji, tafuta
Yanga Sc
Jina la utani Wanajangwani
Uwanja Uwanja wa Taifa
Mwenyekiti Yusuph Manji.
Kocha Hans van der Pluijm

Yanga Sc (jina kamili ni Young Africans Sports Club) ni timu ya soka ya mjini Dar es Salaam iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshiriki Ligi kuu ya Tanzania ni mabingwa mara 25 nchini humo. Tena ni mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame. Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, hii ni mara ya tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote Tatu.

Wachezaji[hariri | hariri chanzo]

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
1 Tanzania GK Ali Mustafa Mtinge
21 Tanzania GK Deo Munishi
36 Tanzania GK Benedictor Tinnoco
3 Tanzania DF Oscar Fanuel Joshua
20 Tanzania DF Haji Mwinyi Mngwali
9 Togo DF Vincent Bossou {{
5 Tanzania DF Nadir Haroub Ali
12 Tanzania DF Juma Abdul Mnyamani
6 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DF Mbuyu Twite
14 Tanzania DF Edward Chars
5 Tanzania DF Kelvin Yondan
15 Tanzania DF Pato Ngonyani
19 Tanzania MF Godfrey Mwashiuya
8 Rwanda MF Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima
14 Niger MF Issofou Bourbacar Garba
27 Tanzania MF Simon Msuva
4 Tanzania MF Deus Kaseke
22 Tanzania MF Saidi Juma Makapu
13 Zimbabwe MF Thabani Kamusoko
2 Tanzania MF Salum Telela
17 Burundi MF Hamisi Tambwe
11 Zimbabwe FW Donald Ndombo Ngoma
16 Tanzania FW Malimi Busungu

Wachezaji Wa Kigeni[hariri | hariri chanzo]

Ligi kuu la Tanzania wanaluhusu wachezaji wa nje saba Yanga nao kwa sasa wanatumia wachezaji hao 7 wa kigeni ambao ni


  • Niger
Issofou Bourbacar Garba

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]