Nenda kwa yaliyomo

Ligi Kuu Tanzania Bara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
NchiTanzania
ConfederationConfederation of African Football
Ilianzishwa1963
Idadi ya timu18
Kushushwa hadiTanzanian First Division League
Levels on pyramid1
Makombe ya nyumbaniAzam Sports Federation Cup
Makombe ya KitaifaCAF Champions League
CAF Confederation Cup
Current championsYanga S.C. (2022–23)
Ubingwa wa Juu zaidiYanga S.C. (30)
Tovutitff.or.tz/ligi-kuu-tanzania-bara/
2023–24 Tanzanian Premier League

Ligi Kuu Tanzania Bara (kwa Kiingereza: Tanzanian Premier League) ni ligi ya kiushindani ya juu kabisa nchini Tanzania, ambayo inasimamiwa na shirikisho la soka nchini Tanzania TFF.

Ilianzishwa mwaka 1965, kipindi hicho ikijulikana kama "Ligi ya Taifa". Jina hilo lilibadilishwa kuwa "Ligi Daraja la kwanza" na tena ikabadilishwa kuwa Ligi Kuu mwaka 1997.

Kuanzia msimu wa 2018/19, ligi hiyo ilikua na klabu 20 zilizocheza mashindano ya mizunguko miwili. Klabu iliyoshika nafasi ya kwanza mwisho wa msimu ilishiriki mashindano ya klabu bingwa barani Afrika (Confederation of African Football (CAF) Champions League) msimu uliofuata.

Kuanzia msimu wa 2015/16, mshindi katika mashindano ya Azam Sports Federation Cup alifuzu kushiriki mashindano ya (CAF Confederations Cup), kabla ya mabadiliko hayo, alieshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ndiye aliyefuzu kushiriki mashindano ya Shirikisho barani Afrika.

Walioshika nafasi tatu za mwisho katika ligi kuu walishuka daraja kushiriki ligi daraja la kwanza kwa msimu uliofuata.[1]

Msimu wa 2020/21

[hariri | hariri chanzo]

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu wa 2020/21 Ligi kuu Tanzania Bara.[2]

Msimu wa 2018/19

[hariri | hariri chanzo]

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu wa 2018/19 Ligi kuu Tanzania Bara.[3]

Msimu wa 2016/17

[hariri | hariri chanzo]

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu 2016/17 Ligi kuu Tanzania Bara:

Msimu wa 2015/16

[hariri | hariri chanzo]

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu 2015/16 Ligi kuu Tanzania Bara:[4]

Msimu wa 2014/15

[hariri | hariri chanzo]
Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Kagera Sugar na Mbeya City tarehe 17 Januari 2015.

Klabu ya Yanga Sc ilishinda taji la ligi kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2014/15. Azam F.C. ilishika nafasi ya pili ikifuatiwa na [[Simba S.C.]] iliyoshika nafasi ya tatu na Mbeya City F.C. ikishika nafasi ya nne. Mfungaji bora kwa msimu huo alikua ni Simon Msuva kutoka klabu ya Yanga Sc.[5]

Timu zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Msimu wa 2013/14

[hariri | hariri chanzo]

Timu zifuatazo zilishiriki ligi kuu Tanzania bara kwa msimu wa 2013/14:

Msimu wa 2012/13

[hariri | hariri chanzo]

Timu zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Msimu wa 2011/12

[hariri | hariri chanzo]

Timu zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Msimu wa 2010/11

[hariri | hariri chanzo]

Timu 12 zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Washindi waliopita

[hariri | hariri chanzo]

Klabu zilizowahi kushinda mataji ya ligi kuu Tanzania bara ni:[6]

Ushindi wa klabu

[hariri | hariri chanzo]
Jina la Klabu Washindi
Yanga Sc 26
Simba S.C. (inajumuisha Sunderland) 22
Mtibwa Sugar F.C. 2
Tukuyu Stars S.C. 1
Pan African S.C. 1
Azam F.C. 1
Cosmopolitans F.C. 1
Mseto Sports S.C. 1
Coastal Union S.C. 1

Wafungaji wa muda wote

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Alama Bora Klabu Magoli
1997 Tanzania Mohamed Hussein "Mmachinga" Yanga S.C.| 26
2004 Tanzania Abubakar Ally Mkangwa Mtibwa Sugar F.C.
2005 Tanzania Abdallah Juma Mtibwa Sugar F.C. 25
2006 n/a n/a
2007 Tanzania Mashiku SC United FC 17
2007–08 Tanzania Michael Katende Kagera Sugar F.C.
2008–09 Kenya Boniface Ambani Yanga S.C. 18
2009–10 Tanzania Musa Hassan Mgosi Simba S.C. 18
2010–11 Tanzania Mrisho Ngasa Azam F.C. 18
2011–12 Tanzania John Raphael Bocco Azam 19
2012–13 Côte d'Ivoire Kipre Tchetche Azam F.C. 17
2014–15 Tanzania Simon Msuva[5] Yanga S.C. 17
2017-18 Uganda Emmanuel Okwi Simba S.C. 20
2018-19 Rwanda Meddie Kagere Simba S.C. 22
2019–20 Rwanda Meddie Kagere Simba 22
2020–21 Tanzania John Bocco Simba 16
2021-22 Tanzania George Mpole Yanga S.C. 17
  1. "About the Premier League". Tanzania Football Federation. 26 Februari 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Oktoba 2010. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Vodacom Premier League". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-04. Iliwekwa mnamo 2019-10-01. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  3. "Vodacom Premier League". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-04. Iliwekwa mnamo 2019-10-01. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2019-10-01. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  5. 5.0 5.1 "Vodacom set to award VPL champs Sh80m". The Citizen. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-21. Iliwekwa mnamo 2019-10-01.
  6. "Tanzania – List of Champions". RSSSF. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]

|-

|