Young Africans S.C
Jina la utani | Yanga (Swahili) |
---|---|
Imeanzishwa | 11Feb 1935 |
Uwanja | Benjamin Mkapa National Stadium (Uwezo: 62,000) |
Mwenyekiti | Mshindo Msola |
Meneja | Senzo Mazingiza |
Kocha | Nasreddine Nabi |
Ligi | Tanzania Premier League, Vodacom Premier League |
Tovuti | tovuti ya klabu |
Young Africans S.C. (maarufu kama Yanga, jina kamili ni Young Africans Sports Club) ni timu ya soka ya nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Jina la utani ''Timu ya Wananchi au Wanajangwani''.
Imepata kuwa mabingwa mara 29 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.[1]
Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.[2]
Wachezaji
Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
|
Wachezaji wa kigeni
Ligi Kuu ya Tanzania inaruhusu wachezaji wa nje kumi. Yanga kwa sasa wanatumia wachezaji wa kigeni wafuatao:
Yanick Bangala Litombo
Stephane Aziz Ki
Djuma Shabani
Fiston Mayele
Djigui Diarra
Khalid Aucho
Gael Bigrimana
Joyce Lomalisa
Jesus Ducapel Moloko
Tanbihi
- ↑ Young Africans live score, schedule and results - Football - SofaScore. www.sofascore.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.
- ↑ Young Africans News | Goal.com. www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.
Nembo
