Abdullah Shaibu Ninja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Abdullah Haji Shaibu (amezaliwa 4 Oktoba 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Anacheza nafasi ya beki wa kati. Pia anamudu nafasi ya kiungo.

Anachezea klabu ya Yanga Sc nchini Tanzania.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdullah Shaibu Ninja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.