Yanga Sc

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Yanga Sc
Jina la utaniWanajangwani
UwanjaUwanja wa Taifa
MwenyekitiMshindo Msolla.
KochaLuc Eymael
Picha:Young Africans SC (logo).png
Nembo ya timu ya mpira ya YANGA

Yanga Sc (jina kamili ni Young Africans Sports Club) ni timu ya soka ya mjini Dar es Salaam iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara na ni mabingwa mara 27 nchini humo. Yanga ni mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.

Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.

Wachezaji

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
1 Kenya GK Farouk Shikalo
33 Tanzania GK Ramadhani Kabwili
24 Tanzania GK Metacha Mnata
20 Tanzania DF Bakari Nondo Mwamnyeto
10 Rwanda DF Eric Rutanga
22 Tanzania DF Yassin Mustapha
12 Tanzania DF Juma Abdul Mnyamani
33 Ghana MF Bernard Morrison
25 Tanzania DF Paul Godfrey
5 Tanzania DF Kelvin Yondan
32 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MF Mukoko Tonombe
24 Tanzania MF zawadi Mauya
4 Tanzania MF Saidi Juma Makapu
6 Tanzania MF Feisal Salumu Toto
7 Tanzania MF Mrisho Ngassa
22 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FW David Molinga
26 Tanzania FW Ditram Nchimbi
9 Côte d'Ivoire FW Wazir Junior

Wachezaji wa kigeni

Ligi Kuu ya Tanzania inaruhusu wachezaji wa nje Kumi. Yanga kwa sasa wanatumia wachezaji wa kigeni ambao ni

Viungo vya nje