Dickson Job

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dickson Nickson Job
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 29 Desemba 2000
Mahala pa kuzaliwa    Tanzania
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Dickson Nickson Job (alizaliwa 29 Desemba ,2000 )ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania ambaye anacheza beki wa kati timu ya Young Africans na Timu ya Taifa ya Tanzania.

Klabu[hariri | hariri chanzo]

Job alianza soka lake katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara akiwa katika klabu ya Mtibwa Sugar. Alihamia klabu ya Young Africans mnamo 11 Januari 2021.[1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Job alicheza mechi yake ya kwanza akiwa katika Timu ya Taifa ya Tanzania katika mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya, ambapo Tanzania ilipoteza kwa mabao 2-1 mnamo 15 Machi 2021.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Dickson Job: Yanga SC seal signing of defender from Mtibwa Sugar | Goal.com". www.goal.com. 
  2. Strack-Zimmermann, Benjamin. "Kenya vs. Tanzania". www.national-football-teams.com. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dickson Job kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.