Nenda kwa yaliyomo

Taifa Stars

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tanzania
Shirt badge/Association crest
Nickname(s)Taifa Stars
ShirikaTanzania Football Federation
ShirikishoCAF (Africa)
Kocha mkuuAdel Amrouche
KapteniMbwana Samatta
Most capsMrisho Ngasa (100)
Top scorerMrisho Ngasa (25)
Home stadiumBenjamin Mkapa Stadium
msimbo ya FIFATAN
cheo ya FIFAKigezo:FIFA World Rankings
Highest FIFA ranking65 (February 1995)
Lowest FIFA ranking175 (October–November 2005)
Elo rankingKigezo:World Football Elo Ratings
Highest Elo ranking75 (11 November 1979)
Lowest Elo ranking168 (19 December 2004)
Home colours
Away colours
First international
 Uganda 7–0 Tanganyika Tanganyika (nchi)
(Uganda; 1945)
Biggest win
 Tanzania 7–0 Somalia 
(Jinja, Uganda; December 1, 1995)
 Tanzania 7–0 Somalia 
(Kampala, Uganda; December 1, 2012)
Biggest defeat
Kigezo:Flagu 0–9 Kenya 
(Tanganyika; 1956)
Africa Cup of Nations
Appearances2 (First in 1980)
Best resultGroup stage (1980 2019 and 2023 Africa Cup of Nations

Timu ya taifa ya Tanzania chini ya chama cha soka cha Tanzania TFF (Tanzania Football Federation) inaiwakilisha Tanzania katika soka ya kimataifa.

Uwanja wa taifa wa Tanzania unafahamika kwa jina la Benjamin Mkapa National Stadium uliopo jijini Dar-es-Salaam na Kocha mkuu kwa sasa ni Adel Amrouche, mwenye asili ya Algeria.

Katika historia, Tanzania haijawahi kufuzu fainali za kombe la dunia. Kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, timu hiyo ilifahamika kama Timu ya taifa ya Tanganyika.

Kwa upande wa Zanzibar, inajulikana kama mwanachama wa kujitegemea wa CAF lakini haiwezi kushiriki katika mashindano ya Afrika (Africa Cup of Nations) wala mashindano ya kombe la dunia chini ya FIFA.

Historia

Mnamo Machi 24 2019, Tanzania ilifanikiwa kuwashinda Uganda ambao ndio wapinzani wao wakuu kutokea Afrika mashariki kwa jumla ya magoli 3-0, ushindi huo uliwapeleka katika fainali za AFCON (2019 Africa Cup of Nations) hii ikiwa ni kwara ya kwanza ndani ya miaka 39, hatua hiyo ilipelekea raisi wa Tanzania mhe. John Magufuli kuizawadia timu nzima viwanja kama hatua ya kuwatia morali Zaidi, fainali hizi zilifanyika nchini Misri. Kwa sasa Tanzania imeamua kuwekeza katika timu ya taifa ili kusonga mbele Zaidi na Zaidi, katika hatua ya kufuzu fainali za AFCO, Tanzania ilifanikiwa kuifunga Burkina Faso mara mbili, katika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Cameroon, Tanzania ilishinda 1–0. Ushindi wao wa siku za karibuni ni dhidi ya timu ya taifa ya Afrika kusini kweny mashindano ya COSAFA ya 2017 katika hatua ya robo fainali lakini hawakuvuka hatua inayofuata babada ya kupoteza dhidi ya timu ya taifa ya Zambia kwa jumla ya magoli 2−4. Katika mtanange wa kutafuta mshindi wa tatu, Tanzania ilishinda mchezo huo kwa mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya timu ya taifa ya Lesotho. Ushindi huo unakua ndio ushindi mkubwa Zaidi wa timu ya taifa ya Tanzania katika historia yake.

Mataji

CECAFA Cup :

Rekodi ya Ushindani

Rekodi ya kombe la dunia

FIFA World Cup record FIFA World Cup Qualification record
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D* L GF GA Pld W D L GF GA
Uruguay 1930 to Mexiko 1970 Haikushiriki Haikushiriki
West Germany 1974 Haikufuzu 3 0 2 1 1 4
Argentina 1978 Ilijitoa Ilijitoa
Hispania 1982 Haikufuzu 4 1 1 2 7 6
Mexiko 1986 2 0 2 0 1 1
Italia 1990 Haikushiriki Haikushiriki
Marekani 1994 Ilijitoa hatua ya kufuzu Ilijitoa hatua ya kufuzu
Ufaransa 1998 Haikufuzu 2 0 1 1 1 2
South Korea Japani 2002 2 0 0 2 2 4
Ujerumani 2006 2 0 1 1 0 3
Afrika Kusini 2010 6 2 2 2 9 6
Brazil 2014 8 3 0 5 10 14
Urusi 2018 4 1 1 2 4 10
Qatar 2022 ya kuamuliwa ya kuamuliwa
Kanada Mexiko Marekani 2026 ya kuamuliwa ya kuamuliwa
Jumla 0/21 33 7 10 16 35 50

Rekodi ya AFCON

Africa Cup of Nations
Appearances: 2
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D L GF GA
Sudan 1957 Haina ushirika wa CAF
Misri 1959
Ethiopia 1962
Ghana 1963
Tunisia 1965
Ethiopia 1968 ilijitoa hatua ya kufuzu
Sudan 1970 Haikuifuzu
Kamerun 1972
Misri 1974
Ethiopia 1976
Ghana 1978
Nigeria 1980 Hatua ya makundi 7th 3 0 1 2 3 6
Libya 1982 Ilijitoa
Côte d'Ivoire 1984 Haikufuzu
Misri 1986 ilijitoa hatua ya kufuzu
Moroko 1988 haikufuzu
Algeria 1990
Senegal 1992
Tunisia 1994 ilijitoa hatua ya kufuzu
Afrika Kusini 1996 haikufuzu
Burkina Faso 1998
Ghana Nigeria 2000
Mali 2002
Tunisia 2004 ilijitoa hatua ya kufuzu
Misri 2006 haikufuzu
Ghana 2008
Angola 2010
Gabon Guinea ya Ikweta 2012
Afrika Kusini 2013
Guinea ya Ikweta 2015
Gabon 2017
Misri 2019 Hatua ya makundi 24th 3 0 0 3 2 8
Kamerun 2021 ya kuamuliwa
Côte d'Ivoire 2023
Guinea 2025
Jumla Hatua ya makundi 2/32 6 0 1 5 5 14

Rekodi ya mataifa ya Afrika

African Nations Championship
Kushiriki: 1
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D* L GF GA
Côte d'Ivoire 2009 Group stage 5th 3 1 1 1 2 2
Sudan 2011 Did not qualify
Afrika Kusini 2014
Rwanda 2016
Moroko 2018
Kamerun 2020 ’’ya kuamuliwa’'
Algeria 2022
Jumla Hatua ya makundi 1/5 3 1 1 1 2 2

Michezo ya Afrika

Mpira wa miguu wa mashindano ya African Games imekua ikichezwa na walio na umri chini ya miaka 23 tangu mwaka 1991.
African Games Rekodi
Mwaka Matokeo GP W D L GS GA
Jamhuri ya Kongo 1965 - 0 0 0 0 0 0
Nigeria 1973 - 0 0 0 0 0 0
Algeria 1978 - 0 0 0 0 0 0
Kenya 1987 - 0 0 0 0 0 0
1991–mpaka sasa See Tanzania national under-23 football team
Jumla 4/4 0 0 0 0 0 0

Matokeo ya hivi karibuni na ratiba

      Ushindi       Suluhu       Kupoteza

2018

Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible

2019

Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible {{footballbox collapsible |round = [[Kirafiki] |date = 16 Juni 2019 |time = 20:00 CAT |team1 = Tanzania  |score = 1–1 |report = https://int.soccerway.com/matches/2019/06/16/world/friendlies/tanzania/zimbabwe/3028720/ |team2 =  Zimbabwe |goals1 = |goals2 = |stadium = El Sekka El Hadid Stadium |location = Cairo, Misri |attendance = |referee = |result = D }} Kigezo:Football box collapsible Kigezo:Football box collapsible Kigezo:Footballbox collapsible

Wachezaji

Kikosi cha sasa

Wachezaji wafuatao walikua miongoni wa waliounda kikosi kilichocheza dhidi ya Burundi katika michuano ya kufuzu kushiriki fainali za kombe la dunia.

Ushiriki katika michozo ya kimataifa na magoli yamewekwa ya mpaka tarehe 4 Septemba 2019 baada ya mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Burundi.

0#0 Pos. Player Date of Birth (Age) Caps Goals Club
1 GK Juma Kaseja 20 Aprili 1985 (1985-04-20) (umri 39) 62 0 Tanzania KMC
13 GK Metacha Mnata 25 Novemba 1998 (1998-11-25) (umri 25) 0 0 Tanzania Mbao
18 GK Beno Kakolanya 0 0 Tanzania Simba

Kigezo:Nat fs break

2 DF Gadiel Kamagi 12 Septemba 1996 (1996-09-12) (umri 28) 24 0 Tanzania Simba
3 DF Haruna Shamte 27 Desemba 1988 (1988-12-27) (umri 35) 3 0 Tanzania Lipuli
4 DF Erasto Nyoni 7 Mei 1988 (1988-05-07) (umri 36) 88 5 Tanzania Simba
5 DF Kelvin Yondan 9 Oktoba 1984 (1984-10-09) (umri 39) 82 0 Tanzania Young African
6 DF Iddy Moby 0 0 Tanzania Polisi Tanzania
15 DF Mohamed Husseini 11 Januari 1995 (1995-01-11) (umri 29) 12 0 Tanzania Simba
22 DF Hassan Kessy 25 Desemba 1994 (1994-12-25) (umri 29) 8 0 Zambia Nkana
23 DF Iddy Nado 1 0 Tanzania Azam

Kigezo:Nat fs break

7 MF Himid Mao Mkami 15 Novemba 1992 (1992-11-15) (umri 31) 51 2 Misri ENPPI
8 MF Salum Abubakar 21 Februari 1989 (1989-02-21) (umri 35) 36 0 Tanzania Azam
14 MF Mohamed Issa 0 0 Tanzania Young Africans
16 MF Frank Domayo 16 Februari 1993 (1993-02-16) (umri 31) 39 0 Tanzania Azam
17 MF Faridi Mussa 21 Juni 1995 (1995-06-21) (umri 29) 21 0 Hispania Tenerife B
19 MF Eleuter Mpepo 0 0 Zambia Buildcon
20 MF Jonas Mkude 3 Desemba 1991 (1991-12-03) (umri 32) 20 0 Tanzania Simba
21 MF Ally Hamis Ng'anzi 3 Septemba 2000 (2000-09-03) (umri 24) 0 0 Marekani Forward Madison

Kigezo:Nat fs break

9 FW Abdillahie Yussuf 3 Oktoba 1992 (1992-10-03) (umri 31) 0 0 Uingereza Blackpool
10 FW Mbwana Samatta 7 Januari 1992 (1992-01-07) (umri 32) 50 17 Ubelgiji Genk
11 FW Hassan Dilunga 19 Oktoba 1993 (1993-10-19) (umri 30) 8 0 Tanzania Simba
12 FW Simon Msuva 2 Oktoba 1993 (1993-10-02) (umri 30) 55 11 Moroko Difaâ El Jadidi


Makocha

Marejeo

  1. http://brotherdanny5b.blogspot.com/2013/10/taifa-stars-ilivyofuzu-kwenda-lagos-1980.html
  2. http://www.rsssf.com/intldetails/1987af.html
  3. http://www.rsssf.com/intldetails/1992af.html
  4. http://www.rsssf.com/intldetails/1993af.html
  5. http://www.rsssf.com/intldetails/1998af.html
  6. Emmanuel Amunike
  7. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-03. Iliwekwa mnamo 2019-09-12.

Viungo vya nje