Erasto Nyoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Erasto Nyoni
Maelezo binafsi
tarehe ya kuzaliwa7 Mei 1988 (1988-05-07) (umri 34)
mahali pa kuzaliwaDar es Salaam, Tanzania
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
Rolling Stone
A.F.C Arusha
2009Vital'O
2010-Azam FC
Timu ya Taifa ya Kandanda
Tanzania9(1)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only. † Appearances (Goals).

Erasto Edward Nyoni (amezaliwa 7 Mei 1988 jijini Dar es Salaam, ni mchezaji soka raia wa Tanzania, anayecheza eneo la kiungo mkabaji katika klabu ya Simba S.C. na timu timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars).

Kazi katika ngazi ya timu ya taifa[hariri | hariri chanzo]

Nyoni ni miongoni mwa wachezaji wanayoitumikia timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) katika michezo ya kimataifa.

Magoli katika michezo ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alama na matokeo yanaorodhesha magoli aliyoifungia Tanzania.[1]
No. Tarehe Uwanja Mpinzani Alama Matokeo Mashindano
1. 16 Juni 2007 Stade du 4 Août, Ouagadougou, Burkina Faso  Burkina Faso 1–0 1–0 2008 Africa Cup of Nations qualification
2. 10 Juni 2012 National Stadium, Dar es Salaam, Tanzania Kigezo:Country data GAM 2–1 2–1 2014 FIFA World Cup qualification
3. 15 Agosti 2012 Molepolole Stadium, Molepolole, Botswana Kigezo:Country data BOT 1–0 3–3 Friendly
4. 5 Julai 2017 Moruleng Stadium, Moruleng, South Africa  Zambia 1–0 2–4 2017 COSAFA Cup
5. 24 Machi 2019 National Stadium, Dar es Salaam, Tanzania  Uganda 2–0 3–0 2019 Africa Cup of Nations qualification

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nyoni, Erasto. National Football Teams. Iliwekwa mnamo 9 January 2017.

Viunga vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Kikosi cha Tanzania AFCON 2019