Nenda kwa yaliyomo

Hemed Morocco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hemed Suleiman Ali (kwa jina lingine Hemed Morocco; alizaliwa Zanzibar, Tanzania, 4 Agosti 1970) ni Kocha wa mpira wa miguu. Kwa sasa ni kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania kuanzia Januari 1 2024.[1]

Rekodi ya Umeneja

[hariri | hariri chanzo]
As of hadi 15 Oktoba 2024
Rekodi ya umeneja kwa timu na muda
Timu Taifa Kutoka Mpaka Rekodi Ref.
G W D L Win %
Tanzania Januari 2024 mpaka sasa

Kigezo:WDL

Jumla &0000000000000014.00000014 &0000000000000004.0000004 &0000000000000004.0000004 &0000000000000006.0000006 &0000000000000028.57000028.57
  1. Elghoubachi, Amina (2024-01-20). "Barlaman Today - Hemed Morocco to Lead Tanzanian Football Team after Algerian Amrouche Suspension". Barlaman Today (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-02-08.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hemed Morocco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.